Lyrics
Dhamira yangu Kujua
Nina wewe Yesu
Dhamira yangu Kujua
Nina wewe Yesu
Asubuhi, mchana wote
Jioni hata usiku
Kwenye hali zote
Nitembee na wewe
Oh Baba, Oh Yesu
Wewe ni kiu yangu
Njaa ya moyo wangu
Wewe ni Mungu wangu
Mfalme wa moyo wangu
Nitakase, nifundishe
Niongoze, nifinyange
Kama ayala ayatamanivyo maji
Ndivyo moyo wangu una zaidi wa kutamani
Oh Baba yangu, ninashuka mbele zako
Mapenzi yako yatimizwe maishani mwangu Yesu
Usipolinda wewe mji walindao wanafanya kazi bure
Usipojenga wewe mji wajengao wafanya kazi bure
Nakutamani Yesu zaidi maishani mwangu
Wewe ni kiu yangu
Njaa ya moyo wangu
Wewe ni Mungu wangu
Mfalme wa moyo wangu
Nitakase, nifundishe
Niongoze, nifinyange
Translate to English
About
Album: Siku Mpya New Day
Released: 2016
Artist: Angel Benard
Leave a Comment