AUDIO Gospel Lyrics VIDEO

MERCY MASIKA – NIKUPENDEZE

About

Artist: MERCY MASIKA

Album: Mwema

Released: 2018

Lyrics

Oh…
Oooh yeah…
Yeaaaah…
Oh ooh uui.
(Still alive)

Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
Kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze
Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
Kuvaa kwangu na kunena kwangu… naomba ah.

Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyoX2
Niguze nifinyange unibeebe
Niunde nitengeneze niwe kama wewe

NIKUPENDEZE
Mm ah…
NIKUPENDEZE
Mhmmm…
NIKUPENDEZE
Eee…
NIKUPENDEZE
Mhmm mm…

Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
Biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe
Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
Biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe ee

Niguze nifinyage unibeebe
Niunde nitengeneze niwe kama wewe X2

NIKUPENDEZE
Ee baba ah maishani mwangu…
NIKUPENDEZE
Ee baba familia yangu…
NIKUPENDEZE
Oh baba yeah yea…
NIKUPENDEZE
Baba mienendo yangu…

Oh yea yea…
Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyo
Niunde nitengeneze niwe kama we we

NIKUPENDEZE
Oh nikupendeze…
NIKUPENDEZE
Eiye katika mienendo yangu…
NIKUPENDEZE
Aah niwe sawa nawe…
NIKUPENDEZE
Woye woye woye woye nitembee nawe…
NIKUPENDEZE
Baba baba kwa kunena kwangu…
NIKUPENDEZE
Hoye baba natamani sana.
NIKUPENDEZE
Woye baba nakupenda sana…
NIKUPENDEZE
Natamani sana nikupendeze…
Kwa kunena kwangu
Kutembea kwangu
Oh niamkapo baba
Wacha nikupendeze

Translate to English

Kenyan award-winning Gospel recording artist, songwriter, and composer, Mercy Masika is here with a brand new gospel banger tagged Nikupendeze.

AUDIO Mercy Masika – Nikupendeze MP3 DOWNLOAD

Leave a Comment