Mlimani Park Orchestra – Neema MP3 Download & Lyrics
Neema – Mlimani Park Orchestra
…
Usipate tabu neema, uliyoyafanya sio mageni hapa duniani eeeeh
ikiwa ni kupendana aaah mama, wapo waliopendana kama watoto mapacha ohhh
ikiwa ni mapenzi iiih bibi eeeh, wapo waliopendana kama kumbikumbi, kumbikumbii ooh ooh, wanapendana sanaa
hata wakati wakutembea utawaona bibi mbele bwana nyuma…..
lakini sio ajabu hta pacha hutokea wakati wakakosa kuelewana, tena kwa viapo neema sembuse mm na wewe eeh.
tafadhali yako nimeipokea kwa mikono miwilii ooh, tena bilaa ya kinyongo moyoni mwangu neema aaaah,
hata shemeji zako kitim tim ,na kule niliwatuma waje wakupe sala zangu bibi
eeeh .
ingiwa roho iliuuma mama uliponielezea, kwamba yule bwana uliyezaa naye yupo ooh,
kwaiyo nisije nyumban kwako, wala kazini nisikufuate, hata kusalimian na mm hutaki japo twafahamiana eeh
Mlimani Park Orchestra – Neema MP3
Leave a Comment