Lyrics
Natamani nitoe shuhuda
Kupitia wimbo nimtetee Mungu
Matiafa wapate sikia
Mazuri ya Mungu vile ni mwema kwetu
Sisi ni bure bila Mungu
Tulivyo navyo ni vya Mungu
Kufanikiwa ni Mungu tu
Nitabaki na Mungu
Nadhani wamwelewa Mungu
Si Mungu wa kushindwa
Kwa wengi amefanya kitu
Na sasa wanasifu
Asante kwa baraka za upendo wako
Najifunza wabariki wapate na wengine
Asante kwa baraka ya maisha yangu
Najifunza wanipenda nishare na wengine
Nakutuma wimbo, uende kwa yule
Ukambariki (Nenda)
Makuu ya Mungu vile huinua
Vile hubariki (Nenda)
Nyumbani kazini uende na Mungu
Usishindwe kitu (Nenda)
Ufike, hee hee hee
Ufike, hee hee hee
Ufike, hee hee hee
Wimbo sema na yule
Wewe rafiki wa wote
Huna ubaguzi nenda wimbo
Kwenye gari waambie, ofisini kazini
Nyumbani popote wimbo nenda wimbo
Neno la Bwana Mungu wetu
Likitamka juu ya kitu
Halitarudi bila kitu
Lazima litimie
Umeomba kitu kwa Mungu
Huyu ndiye Mungu wa vitu
Kupata na kukosa vitu
Mwamuzi bado yeye
Asante kwa baraka za upendo wako
Najifunza wabariki wapate na wengine
Asante kwa baraka ya maisha yangu
Najifunza wanipenda nishare na wengine
Nakutuma wimbo, uende kwa yule
Ukambariki (Nenda)
Makuu ya Mungu vile huinua
Vile hubariki (Nenda)
Nyumbani kazini uende na Mungu
Usishindwe kitu (Nenda)
Translate to English
Thank you for visiting MixPoa.com we are here to inform you about updates, music, mp3, events, words of God, and the Good News.
Download new music, events, mp3 and other good news in our website for free every day and don’t forget to share with your friends.
Leave a Comment