yrics
Ulienipa maumivu me kama nyang’au,
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge,
kwa marafiki mashosti ukannidharau,
ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
Oh Oho ulie nipa maumivu me kama nyang’au na tena,
maumivu dawa ninywe vidonge mhh,
kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu tress niwe mnyonge, leo sina thamani ndo maana unawafata milupo oh baba,
leo sina thamani eeh,
ndo maana unawafata milupo oh baba, we niache
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama),
Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache),
Nitapona mdogo mdogo nitapona ( niache niende salama),
Nitapona mdogo mdogo nitapona, aaaah ooh
Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi haa zawadi,
nikikuretea ausemi asante tena na share hata bila kujua wewe uridhiki kwa nini
Kuna wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze kwangu moyo we unauchanganya a umekuwa kivuruge unavuruga,
sana baba we kitugani kwako mi sijafanya.
Eeeh ama kuna mtu mnapendana sana leo sina thamani ndo maana unawafata ma sister duu ooh baba
Leo sina thaani eeh ndo maana unawafata ma sister duu
ohh baba we niache
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama),
Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache),
Nitapona mdogo mdogo nitapona ( niache niende salama),
Nitapona mdogo mdogo nitapona, aaaah ooh
aiyoyoiyooooooooh

Leave a Comment