Lyrics
Nenda Kamwambie – Diamond Platnumz
…
………..
Nenda kamwambiee.. aah
Jinsi nnavyompendami..aah
Nakama mapenzi bado..
Mwambie ntayaongezami..aah
Nasema kamwambiee..aah
Jinsi nnavyompendamiii..aah
Nakama mapenzi bado..aah
Mwambie ntayaongezami..
so ningemwoni nyota nanga ya mwezi..
Afeal amani yake yeye..
Natamani ila tatizo siwezi..
Huwenda angefanya nielewe..(akuna)
Sialinifunza mapenzi..
Nlikuwa sijuwi kamwaambiee..
Akanidekeza kishenzi,kwa nyimbo nzuri nimuimbie..
So asidanganywe na gari burudani na fedha mimi akanichukia..
Akalishusha thamani penzi ninalompenda kiss mvinyo na beer..
Asidanganywe na gari burudani na fedha mimi akaanichuukia..
Mmmh..mwambie asisikie mapenzi moyo wangu unaumiiaa..(eeyah)
Nenda kamwambiee..aah
Jinsi nnavyompendami..aah
Nakama mapenzi bado mwambie ntayaongezami..
Nasema kamwambiee..aah
Jinsi nnavyompendamii..aah
Nakama mapenzi bado..aah
Mwambie ntayaongezami..
………….
Nasema sikuizi wanakula fungate..
Mapenzi hayana thamani..
Ivo mwambie wanaompenda niwachache..
wengi wao wanatamaani..
Oooh..wanataka kwa tafadhali wakishapewa wanapoteea..
Nenda mwambie aje asali na duwa njema namuombea..
So asidanganywe na gari burudani na fedha mimi akanichukia..
Akalishusha thamani pendo nnalompenda kisa mvinyo na beer..
Asidanganywe nagari burudani nafedha mimi akanichukia..
Mmmh…mwambie asisikie mapenzi moyo wangu unaumiyaa.. (eeyah)
Kamwambie}×8
Nnenda kamwambiee….ᵏᵃᵐʷᵃᵐᵇⁱᵉᵉᵉ
Jinsi nnavyompendami..ⁿⁱⁿᵃᵛᵒᵐᵖᵉⁿᵈᵃ ˢᵃⁿᵃᵃᵃ
Nakama mapenzi bado..ᵐᵐᵐ ⁱʸᵉᵉ
Mwambie ntayaongezami..ⁿᵗᵃʸᵃᵒⁿᵍᵉᶻᵃ ᵐᵃᵐᵃᵃᵃ
Nasema kamwambie.. ᵏᵃᵐʷᵃᵐᵇⁱᵉᵉ ᵃᵃʰ
Jinsi ninavyompendami..ⁿᵃᵐᵖᵉⁿᵈᵃ ˢᵃⁿᵃᵃᵃ
Nakama mapenzi bado..ᵐᵐʰ ⁱʸᵉᵉᵉ
Mwambie ntayaongezami..ⁿᵗᵃʸᵃᵒⁿᵍᵉᶻᵃ ᵐᵃᵐᵃᵃ
….. aaaah..aayaaaaa…ooh ooh
..yeeh…aspinofow..but thenx bob junior… Mr chocolate flavor.. mr love dear…sharobaro records…. records.. records.. records… is diamond platnumz…halo back ladies…

Leave a Comment