Lyrics Music VIDEO

Rose Muhando – Secret Agenda 

lyrics

Ahh
Ehhh
Ahhh

Secret Agenda
Siri Agenda

Secret Agenda
Siri Agenda

Kwanza namushukuru Mungu
Aliyenipoza machungu
Na maneno ya waulimwengu
Kweli Mungu sio mzungu
Hafichiriki na machungu
Hakuninyima na guvungu

Amepindua agenda
Ameharibu agenda
Amezifuta agenda
Amepindua agenda

Bado bado bado badoo
Nesema hamjaona badoo
Mawazo ya Mungu ni fumbo (Remember)
Akili za Mungu nifumbo (Remember)
Wachawi ongezeni bundle


Wabadilishe na mitindo
Sio kilasiku kuruka na umbo
Tupigieni na mabondo
Akamekuroga na mafundo
Neno la Mungu ni nyundo


Sio kama gazeti la shikongo
Yeye, hachunguziki
Ni mwamba, hatingiziki
Wala, hapendi kiki
Anapenda sifa na muziki

Yeye anasema, kamata pindo
Cheza serebuka, leta mdundo

Yeye anasema, kamata pindo
Cheza serebuka, leta mdundo

Yeye anasema, kamata pindo
Cheza serebuka, leta mdundo

Yeye anasema, kamata pindo
Cheza serebuka, leta mdundo

Never never never never know
Adui zangu hawanipati ngoo
Maisha yangu yamekwenda viral
Yesu amenifunga ramba serial
Adui zangu webebaki na video

I am a fighter, it is better
I am a fighter, it is better

Nitapindua agenda
Nitaharibu agenda
Nitazifuta agenda
Nitaharibu, nitangangana kama defender


Nitangangana, kama defender
No retreat no surrender

Yeye anasema, kamata pindo
Cheza serebuka, leta mdundo

Yeye anasema, kamata pindo
Cheza serebuka, leta mdundo

Yeye anasema, kamata pindo
Cheza serebuka, leta mdundo

Yeye anasema, kamata pindo
Cheza serebuka, leta mdundo

Secret Agenda
Siri Agenda

Secret Agenda
Siri Agenda

Translate to English

Thank you for visiting MixPoa.com we are here to inform you about updates, music, mp3, events, words of God, and the Good News.

Download new music, events, mp3 and other good news in our website for free every day and don’t forget to share with your friends.

Leave a Comment