AUDIO Lyrics ZILIPENDWA

Samba Mapangala – Vunja Mifupa MP3 Download & Lyrics

Samba Mapangala – Vunja Mifupa MP3 Download & Lyrics

lyrics

Vunja mifupa kama meno bado iko. vunja mifupa kama bado meno iko… utakuja lia ukishapoteza muda wako… utakuja lia ukishapoteza muda waaako
Fikiria kama ungali bado kijana aaa


Tengeneza maisha yako usaidie jamii yako… masiku miaka zinaenda hazitarudia eee… masiku miaka zinaenda hazitarudi tena
Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee .usifate wale wabaya
Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee usifate wale wabaya

Eeeeee… aaaaa
Eeeeeee
Punguza ulevi ndugu chunga jamii uako ee… watateseka bure kwa ajili yako
Somesha mtoto shule… apate elimu eeee atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu eee dunia ni hivyo… hivyo ndivyo ilivyooo

Punguza ulevi ndugu chunga jamii yako ee watateseka bure kwa ajili yako

Somesha mtoto shule. apate elimu ee atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu ee… dunia ni hivyo. hivyo ndivyo ilivyo… ooo

Siompeta… hahahaaa
Samba mapangala.adiote paris… ooohh. jotoo
Hima hima hima

Samba Mapangala – Vunja Mifupa MP3 Download

Leave a Comment