AUDIO Lyrics Music VIDEO

Zuchu – Nyumba Ndogo

Lyrics

Oh, oh, nikupe taarifa mwenzangu, uh-uh
Yame nifika kwako we mwanamke mwenzangu uh-uh
Sema oh, oh nikupe taarifa mwenzangu, uh, uh
Yame nifika kwako we mwanamke mwenzangu, uh, uh

Bwan’ako ana lalamika kila akija nyumbani
Eti hujui kupika
Kula kwako hatamani
Kwangu kalipenda tembele
Toto laini, laini
Shoga umenyimwa upole
Tajiri wa kisirani
Na samahani, samahani mwanzoni
Siku jitambulisha mimi nani
Ni miye njoo mke mwenzio A.K.A nyumba ndogo

Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo
Sina ubaya (sina ubaya nawe)
Ah ukinichukia (wani onea bure)
Ah, sina ubaya (sina ubaya nawe)
Muke mwenza uki nichukiaa (wani onea bure)
Oh, sina ubaya (sina ubaya nawe)
Ah, ukinichukia (wani onea bure)

Oh, nasema mnyonge, mnyongeni
Ni haki yake mpeni, muke mwenza unanifaa
Miye nikiwa mwezini kwangu haiwezekani
Kwako bwana anakaa
Mambo kusaidiana wala Usihuzunike
Siku hizi ku share mabwana ndjo Fashion kwa wanawakee
Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike
Sina ubaya (sina ubaya nawe)
Ah, ukinichukiaa (wani onea bure)
Ah, sina ubaya (sina ubaya nawe)
Muke mwenza ukinichukiaa (wani onea bure)
Oh, sina ubaya (sina ubaya nawe)
Ah, ukinichukiaa (wani onea bure)

Twendee nache, nache, nache, nache, nachie
Huu mchezo wa kichina zungusha kiuno chako
We kichina zungusha kiuno chako
Kama shepu huna pambana na hali yako
Kama huna pambana na hali yako
Nasema Masha zungusha, we zungusha
Sasa Wanjala zungusha, we zungusha
Khadija Kopa zungusha, we zungusha
Mama Dangote zungusha, we Zungusha
Mama-ah-ah
Ah, ah, ah

We kama mzuka umepanda twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
Na kama mzuka umepanda twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
Twende changamkeni, changamkeni, changamkeni
Apo kati changamkeni, changamkeni, changamkeni
Na kulia changamkeni, changamkeni, changamkeni
Kuchoto changamkeni, changamkeni, changamkeni
Mama-a-a-a-a-ah
Twendee nache, nache, nache, nache, nacheza
Nasema aii mama, aii mama, aii mama, aii mama

Andaa besee, andaa besee, andaa besee, andaa besee
Twende
Mama, andaa besee, andaa besee, andaa besee, andaa besee
Twende
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe

Kamix Lizer

Translate to English

Thank you for visiting MixPoa.com we are here to inform you about updates, music, mp3, events, words of God, and the Good News.

Download new music, events, mp3 and other good news in our website for free every day and don’t forget to share with your friends.

Leave a Comment